
May 11, 2024
List ya Vyuo Vikuu 10 Bora Nchini Tanzania
Hivi karibuni, mtandao wa Webometric ulitoa viwango vya ubora wa vyuo vikuu duniani, ukihusisha zaidi ya vyuo 5,000 kutoka nchi mbalimbali. Viwango hivi vya ubora vinazingatia vipengele kadhaa, ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa taarifa muhimu kwenye tovuti za vyuo, idadi